Khalid Aucho, Kennedy Musonda na Djigui Diarra wameungana na wachezaji wengine wa Yanga katika pre-season inayoendelea Avic Town ikiwa imeingia wiki ya pili
Kikosi cha Yanga kinafanya mazoezi asubuhi na jioni ili kuhakikisha wachezaji wanapata utimamu unaostahili tayari kwa mikiki mikiki ya msimu mpya wa mashindano








ADVERTISE HERE