Farid amkabidhi Chama namba 17

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jul 2024
Farid amkabidhi Chama namba 17

Kiungo mshambuliaji Clatous Chama ataendelea kuitumia jezi namba 17 ambayo amekuwa akiitumia katika klabu mbalimbali alizopita pamoja na timu ya Taifa ya Zambia

Ni baada ya kiungo kiraka Farid Mussa kuridhia ombi la Chama huku mwenyewe kuchukua jezi namba 12

"Chama alinifuata na kuniomba angependa kutumia jezi namba 17 ambayo amekuwa akiitumia katika klabu na timu ya Taifa kwa miaka mingi"

"Nimefutahi kitendo cha Chama kuja kuniomba ameonyesha heshima kwangu na kwa kuwa sisi sote lengo letu ni moja klabuni, nimekubali kumkabidhi Chama jezi namba 17 na mimi nitatumia jezi namba 12," alisema Farid

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
14m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’