Baada ya mazoezi ya kuimarisha mwili kwa siku tatu, kikosi cha Yanga leo kimerudi dimba la Avic Town kwa ajili ya mazoezi ya uwanjani
Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi leo ameanza rasmi kukiandaa kikosi chake kimbinu
Kiungo mshambuliaji Stephane Aziz Ki nae ameungana na wachezaji wenzake. Aziz Ki alirejea jana kutoka mapumzikoni Ivory Coast




ADVERTISE HERE