Kiungo mpya wa Yanga Clatous Chama aliwasili mapema leo kutoka Zambia na kujiunga na wachezaji wenzake ambao wameanza maandalizi ya pre-season Avic Town
Yanga imemtambulisha Chama leo kwa utaratibu ambao wamekuwa wakifanya kwa wachezaji wote
Awali Chama alitambulishwa kupitia picha alizopigwa wakati akisaini mkataba wa kuitumikia Yanga

Kimyaaaaaaaaa….MWAMBA amewasil
— Young Africans SC (@YoungAfricansSC) July 9, 2024
CHAAAAAAAA Baba@ClatousCC #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko pic.twitter.com/OVj4rdoAKJ
ADVERTISE HERE