Matchday : Safari Champions vs Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jun 2024
Matchday : Safari Champions vs Yanga

Vijana wa Safari Champions leo watatimiza ndoto kwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga. Mchezo huo utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 2:15 usiku

Shamrashamra zitaanza mapema kwa burudani kutoka kwa mwanamuziki nguli barani Afrika Koffi Olomide kutoka DR Congo sambamba na Harmonize wa Tanzania

Baadhi ya nyota wa kikosi cha kwanza cha Yanga watashiriki mchezo huo ambao pia utawajumuisha nyota wa kikosi cha U20

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’