Yanga kujaribu kiungo mechi dhidi ya Safari Champions

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jun 2024
Yanga kujaribu kiungo mechi dhidi ya Safari Champions

Kiungo mkabaji na nahodha wa Wakiso Giants ya Uganda, Hassan Ssenyonjo anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kitakachoibakili Safari Champions katika mchezo maalum wa kirafiki utakaopigwa Jumamosi, Juni 29 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Eneo la kiungo cha ukabaji ni moja ya maeneo ambayo Yanga inatarajiwa kuimarisha Kocha Mkuu wa mabingwa hao wa nchi Miguel Gamondi akihitaji kuimarisha eneo hilo

Kwa mujibu wa taarifa, kiungo huyo anatarajiwa kutua leo kwa ndege ya Uganda kisha ataungana na nyota wengine wa Yanga kwa ajili ya mchezo huo utakaopigwa Jumamosi usiku

Gamondi amehitaji kumshuhudia mchezaji huyo licha ya kuhakikishiwa anakidhi mahitaji ya Yanga. Kama ataridhika nae ni wazi atapewa mkataba na pengine kumuondoa Mganda mwenzake, beki Gift Fred ambaye anaweza kutolewa kwa mkopo

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema taarifa rasmi kuhusu kikosi cha Yanga kwa ajili ya msimu wa 2024/25 zitaanza kutolewa Jumatatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’