Yanga kuandika historia nyingine Hyatt Regency

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jun 2024
Yanga kuandika historia nyingine Hyatt Regency

Wanachama na mashabiki wa Yanga leo watashuhudia tukio la uzinduzi wa kitabu chao chenye historia mbalimbali

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema ni tukio la kihistoria kwa Yanga kuzindua kitabu kilichosheheni taarifa muhimu za klabu hiyo tangu kuundwa kwake mwaka 1935

"Ni jambo la kihistoria tunakwenda kufanya Yanga ni klabu yenye miaka 89 na kuna mengi ambayo wanachama na mashabiki wanahitaji kuyajua kazi hii tumeanza kuifanya miezi saba iliyopita na safari hii hatujaacha chochote"

"Mashabiki na Wanachama wanahitaji kupata kile kilicho bora na tunaamini kupitia hiki kitabu kuna simulizi nyingi nzuri watakutana nazo ambazo zinaeleza namna ilivyokuwa tangu awali mpaka sasa," alisema Kamwe

Msimu uliopita Yanga Ilizindua Makala yao 'Documentary' iliyoelezea matukio muhimu ya klabu ya Yanga kwa msimu wa 2022/23Β 

Mdhamini na Mfadhili wa Yanga GSM, ni miongoni mwa watu mashuhuri walioalikwa katika hafla hiyo inayofanyiika Hyatt Regency jijini Dar es salaam

Mgeni rasmi ni Mh Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’