Ligi Kuu ya Wanawake imefika tamati leo ambapo kinadada wa Yanga Princess wamehitimisha msimu kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Alliance Girls
Ni ushindi ambao umewafanya wamaliza katika nafasi ya tatu kwenye msimamo baada ya kukusanya alama 36
Simba Queens wametwaa ubingwa wakiwa na alama 52 huku JKT Queens wakishika nafasi ya pili na alama 43
Yanga Princess inatarajiwa kufanyiwa maboresho zaidi kuanzia wachezaji na benchi la ufundi ili kuhakikisha msimu ujao inakuwa bora zaidi
ADVERTISE HERE