Stars yaifuata Zambia kufuzu kombe la Dunia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jun 2024
Stars yaifuata Zambia kufuzu kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeondoka leo kwenda Zambia tayari kwa mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Zambia utakaopigwa Jumann, June 11, 2024, kuanzia saa 10 Jioni kwenye Uwanja wa Levy Mwanawasa

Zambia jana ilipoteza dhidi ya Morocco ugenini kwa mabao 2-1 kwenye michuano hiyo ya kufuzu Kombe la Dunia

Tanzania na Zambia zipo kundi E pamoja na timu za Niger, Congo, Morocco na Eritrea ambao wamejitoa kwenye michuano hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’