Mkataba mpya kwa Gamondi ni uhakika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jun 2024
Mkataba mpya kwa Gamondi ni uhakika

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amethibitisha mkataba wake na mabingwa hao wa Tanzania Bara kwa misimu mitatu mfululizo umemalizika

Hata hivyo tayari Yanga ilishakamilisha mazungumzo nae ya kumuongezea mkataba ili aendelee kuwapa furaha Wananchi

Gamondi amekuwa na msimu bora na Wananchi ambapo ameweza kufikia malengo ya klabu kwa zaidi ya asilimia 100

Ametetea taji la ligi kuu na kombe la Shirikisho la CRDB huku akiiwezesha Yanga kucheza robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya kusubiri kwa miaka 25

Kabla ya kwenda likizo, Gamondi anatarajiwa kuwasilisha mapendekezo yake kwa uongozi wa Yanga juu ya maboresho anayohitaji ili kuhakikisha Wananchi wanaendelea kufurahi msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
59m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’