Yanga yaalikwa Baraza la Wawakilishi Zanzibar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jun 2024
Yanga yaalikwa Baraza la Wawakilishi Zanzibar

Baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la Shirikisho la CRDB hapo jana kwa ushindi wa mikwaju ya penati 6-5 dhidi ya Azam Fc baada ya matokeo ya suluhu ya bila kufungana, mapema leo kikosi cha Yanga kilialikwa katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar

Hii ni heshima kubwa kwa wachezaji, benchi la ufundi na viongozi wa Yanga kupewa heshima hiyo kutokana na mafanikio waliyopata

Walipata mwaliko kama huo Tanzania Bara pale walipotwaa taji la Ligi Kuu wakialikwa katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam saa 11 jioni ambapo mashabiki wameaswa kujitokeza kwa wingi bandarini kwa ajili ya mapokezi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
27m ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
5h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’