Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji akiwa sambamba na baadhi ya viongozi waandamizi wa klabu hiyo, janawalifanya Mkutano na viongozi wa Matawi wa Visiwani Zanzibar
Mkutano huo ulikuwa mahsusi kuchochea hamasa ya Usajili wa Wanachama na Mashabiki pamoja na kuwatambulisha washirika wa Yanga kwenye Usajili mabenki ya NMB, CRDB na NBC








ADVERTISE HERE