Paredi lilianza taratibu kutoka uwanja wa Benjamin Mkapa lakini Wananchi waliongezeka kadiri msafara ulivyoendelea kuitafuta Jangwani, yalipo Makao Makuu ya klabu ya Yanga
Kwa mara nyingine tena, leo Yanga imedhihirisha ni timu pendwa Tanzania, maelfu wakijitokeza kusindikiza ubingwa wa 30 wa Yanga, Jangwani










ADVERTISE HERE