Paredi la Mabingwa ni leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 May 2024
Paredi la Mabingwa ni leo

Paredi la ubingwa wa 30 ligi kuu ya Tanzania Bara linafanyika leo ambapo Wanachama na Mashabiki wa Yanga wanakusanyika nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya kuanza paredi kuelekea Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani

Kabla ya kuanza paredi, Wananchi wameandaliwa supu zaidi ya n'gombe 15 wamedondoshwa

Wananchi wamepania kuandika historia nyingine katika sherehe za ubingwa wa 30

Gari maalum la paredi litatokea maeneo ya Mbagala kuelekea uwanja wa Benjamin Mkapa ambako shughuli rasmi itaanzia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’