Matchday; Dodoma Jiji vs Yanga, NBC PL, May 22

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 May 2024
Matchday; Dodoma Jiji vs Yanga, NBC PL, May 22

Mabingwa wateule wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu Yanga leo wako mkoani Dodoma kumenyana na Dodoma Jiji katika moja ya mechi za kukamilisha ratiba

Yanga walitwaa ubingwa wakiwa na mechi tatu mkononi ambazo kimsingi Kocha Miguel Gamondi anaweza kuzitumia kuwapa nafasi baadhi ya wachezaji ambao hawakutumika sana msimu huu

Lakini pia mechi hiyo imepewa heshima ya kipekee, ni GAMOND DAY

Wananchi wanaitumia kumpongeza na kumshukuru Gamondi na benchi lake la ufundi kwa kazi nzuri ya kuipa Yanga ubingwa wa 30

Kuna tukio litafanyika uwanjani kwenye dakika ya 30 ambapo mashabiki wa Yanga watasimama na kupiga makofi kwa dakika moja ikiwa ishara ya kufurahia ubingwa wa 30

Mchezo utapigwa kuanzia saa 10 jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’