Gamondi kuwabadilishia kikosi Dodoma Jiji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 May 2024
Gamondi kuwabadilishia kikosi Dodoma Jiji

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema kikosi chake hakikupata muda wa kutosha kufanya maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Dodoma Jiji kutokana na kukabiliwa na mechi mfululizo

Hata hivyo Gamondi amesema watakuwa tayari kwa mchezo huo wa raundi ya 28 ambao utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Jamhuri

Akizungumza katika Mkutano na wanahabari kuelekea mchezo huo, Gamondi ameesema baada ya mazoezi ya mwisho watakayofanya leo, atafahamu wachezaji ambao watakuwa tayari kwa mchezo huo

Gamondi amedokeza atawapa nafasi baadhi ya wachezaji ambao hawakutumika sana tangu mwanzo wa msimu huu

"Ratiba yetu ni changamoto hivyo siwezi kusema kama tumepata muda wa kutosha kujiandaa na mchezo huu. Lakini niseme tu, tuko tayari kwa ajili ya mchezo, nina kundi la wachezaji ambao wamepambana katika changamoto zote tangu mwanzo wa msimu"

"Jioni tutapata nafasi ya kufanya mazoezi ya mwisho, baada ya mazoezi hayo nitafahamu ni wachezaji gani ambao watakuwa tayari kwa mchezo"

"Lakini hii ni mechi ambayo tutacheza pasipo kuwa na presha yoyote, nitatoa nafasi kwa baadhi ya wachezaji ambao hawakutumika sana tangu msimu huu ulipoanza"

"Naamini hii ni nafasi nzuri kwao kudhihrisha ubora wao na kuonyesha bado wanastahili kuendelea kucheza hapa," alisema Gamondi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’