Mamia ya mashabiki wa Yanga mkoani Dodoma wamejitokeza kwa wingi katika mapokezi ya timu yao ambayo ilitua mkoani humo mapema leo
Kesho Jumatano Yanga itachuana na Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu ya NBC (GAMONDI DAY)
Yanga wakiwa mabingwa kwa msimu wa tatu mfululizo, wanaendelea kudhihirisha ukubwa wao hapa nchini


ADVERTISE HERE