FT : Yanga 1-0 Ihefu Fc, FA Cup, SF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 May 2024
FT : Yanga 1-0 Ihefu Fc, FA Cup, SF

Dakika 120 za kibabe zimemalizika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu Fc na kutinga fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB

Stephane Aziz Ki alifunga bao pekee la Yanga katika dakika 30 za ziada baada ya dakika 90 mchezo huo kumalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Ilikuwa krosi kutoka winga ya kulia iliyochongwa na Pacome Zouzoua ikitendewa haki na Aziz Ki ambaye kabla ya kufunga bao hilo alipoteza nafasi mbili za wazi

Ulikuwa mchezo ambao kwa hakika una hadhi ya nusu fainali lakini ubora wa Yanga ukaamua matokeo

Yanga sasa inakwenda kuchuana na Azam Fc katika mchezo wa fainali utakaopigwa mwanzoni mwa Juni 2024

Ni marudio ya fainali ya msimu uliopita, Yanga ikibeba kombe kwa ushindi wa bao 1-0

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’