Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Arusha tayari kwa mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Ihefu Fc utakaopigwa Jumapili, May 19 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid

ADVERTISE HERE