Jumapili May 19 saa 9:30 Alasiri mechi ya nusu fainali kombe la Shirikisho la CRDB kati ya Ihefu Fc dhidi ya Yanga itapigwa katika uwanja wa Shikh Amri Abeid, Arusha
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza viingilio vya mchezo huo;
VIP A na VIP B ni Tsh 30,000/-, VIP C ni Tsh 20,000/- na Mzunguuko ni Tsh 10,000/-
ADVERTISE HERE