Uzi wa kibabe wa ubingwa wa 30

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 May 2024
Uzi wa kibabe wa ubingwa wa 30

Katika kuelekea shamrashamra za ubingwa wa 30 ligi kuu ya Tanzania Bara, Yanga imeachia uzi rasmi kuadhimisha mafanikio hayo

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Yanga mapema leo, uzi huo unapatikana duka la klabu ambalo lipo Makao Makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam

Bei ni kati ya Tsh 15,000/- hadi Tsh 35,000/- kutegemeana na aina ya jezi utakayochagua

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amewataka Wananchi kuchangamkia uzi huo kwani hayo ndio mavazi rasmi katika kuadhimisha ubingwa wa ligi kuu msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’