Mtibwa Sugar vs Yanga ni mechi ya Ubingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 May 2024
Mtibwa Sugar vs Yanga ni mechi ya Ubingwa

Ni rasmi sasa kesho Yanga inaweza kuandikisha ubingwa wa tatu mfululizo ambao utakuwa ubingwa wa 30 katika historia ya ligi kuu ya Tanzania Bara

Matokeo ya sare ya bao 1-1 ambayo Simba wamepata dhidi ya Kagera Sugar leo, yameipa uhakika Yanga kuwa alama tatu katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar zitatosha kupeleka ubingwa Jangwani

Ushindi utaifanya Yanga ifikishe alama 71 ambazo sio Simba wala Azam Fc ambao wanaweza kuzifikia

Kama Simba itashinda mechi nne zilizosalia itafikisha alama 69 sawa na Azam Fc ambayo pia ukomo wa alama zake ni 69

Hivyo mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar Yanga inakwenda kucheza huku ikifahamu ushindi utatosha kumaliza msimu mapema na mechi tatu mkononi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’