Kituo kinachofuata ni Morogoro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 May 2024
Kituo kinachofuata ni Morogoro

Kikosi cha Yanga leo kinaelekea mkoani Morogoro tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar

Mchezo huo utapigwa kesho Jumatatu, May 13 katika uwanja wa Manungu, Turiani

Hesabu za Wananchi ni kuvuna alama tatu katika mchezo huo ili kuhifadhi taji la ligi kuu kwa msimu wa tatu mfululizo

Ligi Kuu inaelekea ukingoni zikiwa zimesalia mechi nne tu ambapo baada ya mchezo huo Yanga itakuwa imebakisha mechi moja ya ugenini dhidi ya Dodoma Jiji, May 22

Mechi mbili za mwisho dhidi ya Tabora United na Tanzania Prisons zote zitapigwa jijini Dar es saalaam

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’