Rais wa Yanga Injinia Hersi Said usiku wa kuamkia leo alialikwa katika hafla ya tuzo za COSAFA 2023 liyofanyika Afrika Kusini
Hersi ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vilabu barani Afrika (ACA) alipewa heshima ya kutoa tuzo kwa LEGENDARY wa soka la wanawake katika ukanda wa Kusini mwa Afrika, COSAFA, Janine van Wyr



ADVERTISE HERE