Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo wa Yanga Midathir Yahya Abbas
Mudathir yuko katika msimu wake bora zaidi katika maisha yake ya soka akiwa Yanga
Msimu huu Mudathir amefunga mabao 10 katika mashindano yote, nane ya ligi kuu na mwili ya ligi ya mabingwa
Moja ya 'injini' muhimu za kocha Miguel Gamondi katika kikosi cha Yanga kinachokaribia kutwaa ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa tatu mfululizo
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
Happy Birthday Mudathir..!
ADVERTISE HERE