Yanga yakumbana na faini Bodi ya Ligi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 May 2024
Yanga yakumbana na faini Bodi ya Ligi

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi kuu katika kikao chake cha April 30 imeitoza klabu ya Yanga faini ya Tsh Milioni 5 kwa kosa la kuingia uwanjani pasipo kupitia mlango rasmi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba uliopigwa April 20, Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1

Kulingana na taarifa ya Kamati, Yanga imepigwa faini hiyo kutokana na kujirudia kwa kosa hilo katika mechi dhidi ya Simba kwenye misimu minne iliyopita

Kuhusu kutotumia chumba cha kubadilishia nguo katika mchezo huo, Kamarti inasubiri taarifa ya daktari wa mchezo huo ambaye alichukua sampuli ya hewa kutoka vyumba vya kubadilishia nguo

Yanga ililazimika kutotumia vyumba hivyo baada ya kubaini uwepo wa harufu kali, malalamiko ambayo yalithibitishwa na wasimamizi wa mechi husika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’