Pacome bado kidogo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Apr 2024
Pacome bado kidogo

Leo Yanga itashuka uwanja wa Azam Complex kuikabili Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Yanga imethibitisha itaendelea kukosa huduma ya kiungo wake mshambuliaji Pacome Zouzoua ambaye amekuwa nje ya dimba kwa takribani wiki tano sasa akiwa ni majeruhi

Imeelezwa kuwa fundi huyo wa mpira raia wa Ivory Coast anakamilisha program maalum itakayoimarisha fitness yake kabla ya kuanza kuonekana tena uwanjani

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi hana haraka ya kumrejesha Pacome uwanjani akitaka nyota huyo apone sawasawa

Katika mahojiano yake kadhaa, Gamondi amesisitiza ni lazima alinde afya za wachezaji wake kwa kuhakikisha wanatumika wakiwa katika utimamu unaotakiwa

Aifanya hivyo kwa wachezaji kama Khalid Aucho, Yao Kouassi, Kennedy Musonda, Kibwana Shomari na hata Zawadi Mauya ambao iliwachukua wiki kadhaa kurejea dimbani licha ya kupona majeraha yao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’