Baada ya ushindi dhidi ya watani Simba katika mechi zote mbili za ligi kuu, Wananchi wameanza kutandaza mabango jijini Dar kama walivyofanya baada ya ushindi wa mabao 5-1 kwenye mechi ya mkondo wa kwanza
Safari hii matokeo yanayowekwa kwenye bango ni 7-2 yaani (5-1 + 2-1).
Kazi ndio kwanza imeanza....!


ADVERTISE HERE