Mapema leo, uongozi wa Yanga umekutana na Uongozi wa Klabu ya CSKA Moscow kutoka Urusi kwa lengo la kutengeneza mahusiano ya kukuza vipaji kwa soka la vijana na kubadilishana taaluma mbalimbali za kimichezo na utawala




ADVERTISE HERE