Kituo kinachofuata ni Dodoma Jiji, CRDB FA Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Apr 2024
Kituo kinachofuata ni Dodoma Jiji, CRDB FA Cup

Yanga ilirejea jijini Dar es salaam jana jioni ikitokea Afrika Kusini ambako iliondoshwa  hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa kwa mikwaju ya penati dhidi ya Mamelodi Sundowns katik mchezo ambao umeacha gumzo barani Afrika baada ya bao la Stephane Aziz Ki kukataliwa

Tayari Yanga imewasilisha malalamiko yake kwa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) ikituhumu njama za upangaji matokeo

Yanga sasa inahamisha nguvu zake kwenye ligi ya ndani ambapo mchezo unaofuata ni kombe la FA (CRDB Cup) dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma, Jumatano April 10

Malengo ya Yanga sasa ni kutetea mataji mawili yaliyobaki ambayo ni Ligi Kuu na kombe la FA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’