Thamani ya kila bao dhidi ya Mamelodi ni Mil 110

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Apr 2024
Thamani ya kila bao dhidi ya Mamelodi ni Mil 110

Achana na bonus ambayo uongozi wa Yanga uliwaahidi wachezaji endapo wataiondosha Mamelodi Sundowns na kutinga nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika, Mfadhili/Mdhamini wa Yanga GSM ameongeza Tsh Milioni 100 kwa kila bao ambalo Yanga watafunga Afrika Kusini hapo kesho

Ikumbukwe thamani ya bao moja la Yanga katika mchezo huo itakuwa sawa na mabao mawili ya Mamelodi Sundowns hivyo kadiri Yanga itakavyofunga mabao mengi ndivyo itajiwekea nafasi nzuri ya kutinga nusu fainali

Lakini pia bonus ya goli la Mama kuanza hatua ya robo fainali ni Tsh Milioni 10, hivyo thamani ya kila bao ambalo Yanga wataifunga Mamelodi Sundowns hapo kesho ni Tsh Milioni 110

Morali ya wachezaji wa Yanga kuelekea mchezo huu iko juu na hii inakuonyesha ni kwa kiasi gani wachezaji wamepania kuiondosha Sundowns katika uwanja wao

Ushindi au matokeo yoyote ya sare kwa Yanga yatatosha kuwavusha Wananchi hatua ya nusu fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
37m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’