Shirikisho la soka nchini (TFF) limevikumbusha vilabu vinavyoshiriki michuano mbalimbali inayosimamiwa na TFF kuwa ni siku 12 pekee zimebaki dirisha la usajili lifungwe.
TFF imesisitiza kuwa hakutakuwa na muda wa nyongeza baada ya dirisha kufungwa Agosti 06.
Mpaka sasa ni timu mbili pekee zilizowasilisha usajili wake TFF.
TFF imesisitiza kuwa hakutakuwa na muda wa nyongeza baada ya dirisha kufungwa Agosti 06.
Mpaka sasa ni timu mbili pekee zilizowasilisha usajili wake TFF.
USAJILI MSIMU WA 2017/18
Kwa mara nyingine, tunazikumbusha klabu 16 za Ligi Kuu ya Vodacom, 24 za Ligi Daraja la Kwanza na 24 Ligi Daraja la Pili kusajili wachezaji haraka kwani zimebaki siku 12 tu kabla dirisha halijafungwa. Hadi sasa ni timu mbili, kati ya 62 ndizo zimesajili.
Tahadhali, mwaka huu hakuna kuongeza siku kama mwaka jana.
IMETOLEWA LEO NA TFF
ADVERTISE HERE