Yanga yapewa basi bovu, ubalozi waingilia kati

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Apr 2024
Yanga yapewa basi bovu, ubalozi waingilia kati

Wakati kikosi cha Yanga kikisafiri kutoka Johanesburg kuelekea Mji wa Pretoria ambako mchezo wa pili wa robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya Mamelodi Sundowns utapigwa siku ya Ijumaa, wananchi walikumbana na mkasa wasioutarajia

Wenyeji wao Mamelodi Sundowns waliwaandalia basi maalum ambalo lingewapeleka hadi Pretoria

Ajabu ni kuwa basi liliharabika baada ya kutembea umbali mfupi tu. Uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na ubalozi wa Tanzania hapo Afrika Kusini, wakafanya jitihada za kupata basi jingine ili kuhakikisha wachezaji wanawasili Pretoria mapema na kupata muda wa kupumzika kabla ya kuanza maandalizi ya mchezo huo

Shukrani za dhati anastahili Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Mhe. James Bwana ambaye alihakikisha Yanga inapokelewa vyema na kuhakikisha haipati changamoto zozote zisizo za lazima

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’