Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo wa Yanga Jonas Gerrard Mkude
Wananchi wanaendelea kumpa maua yake kutokana na kiwango bora alichoonyesha katika mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali ya ligi ya mabingwa dhidi ya Mamelodi Sundowns uliomalizika kwa suluhu ya bila kufungana
Mkude ni kama amerejesha imani ya benchi la ufundi kwake baada ya mchezo huo na pengine Wananchi watarajie kumuona mara nyingi zaidi katika mechi zilizosalia msimu huu
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
HAPPY BIRTHDAY MKUDE....!
ADVERTISE HERE