Wageni wanagombania tiketi VIP - Kamwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Mar 2024
Wageni wanagombania tiketi VIP - Kamwe

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema mechi kati ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns imepata mwitikio mkubwa wa mashabiki ambapo watu wengi kutoka nje ya Tanzania wananunua tiketi za VIP

Kamwe amesema mchezo huo unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka Barani Afrika kutokana na sifa za timu zinazokutana

"Juzi niligundua kwamba, watu wanaonunua tiketi za VIP wengi wanatoka nje ya nchi, kwa sababu tumepokea emails na simu nyingi kutoka Kenya, Uganda, Malawi na Zambia wakihitaji tiketi"

"Tumepata picha kwamba, ukubwa wa hii mechi sio tu hapa Tanzania. Hata mashabiki wengine wa nchi jirani wanataka kuishuhudia mechi yetu:

"Mechi yetu na Mamelodi inazungumzwa Afrika nzima kwa sababu kwa sasa Mamelodi ndio timu yenye mvuto Afrika halafu Yanga ndio surprise package"

"Hata kwenye mijadala ya watu wa Afrika Kusini wanasema hawapaswi kuichukulia poa Yanga kutokana na kile ilichofanya msimu uliopita kwenye Kombe la Shirikisho kwa sababu wanaweza kukifanya kwenye Ligi ya Mabingwa," alisema Kamwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’