Hatma ya Yao mikononi mwa Youssef

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Mar 2024
Hatma ya Yao mikononi mwa Youssef

Mpaka sasa Yanga ina uhakika wa kupata huduma ya baadhi ya wachezaji ambao walikuwa majeruhi baada ya afya zao kuimarika

Mchezaji pekee ambaye bado yuko chini ya uangalizi maalum ni mlinzi wa kulia Yao Kouassi aliyepata majeraha katika mchezo uliopita ligi kuu dhidi ya Azam Fc

Mtaalam wa tiba ya viungo Youssef Ammar ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha Yao anarejea dimbani mapema ikiwezekana awahi mchezo dhidi ya Mamelodi utakaopigwa Jumamosi ijayo katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya kupambana kumrejesha Khalid Aucho, matumaini ni makubwa upande wa Yao nae anaweza kurejea ndani ya wakati na kuiwahi Mamelodi

Nyota wengine waliokuwa majeruhi ambao tayari afya zao zimeimarika ni Kibwana Shomari na Zawadi Mauya ambao wote wanatarajiwa kurejea mazoezini leo

Yanga inarudi kwenye uwanja wa mazoezi Bandari leo kuendelea na maandalizi ya kuikabili Mamelodi Sundowns katika mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’