Droo ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imefanyika Misri leo ambapo mabingwa wa Tanzania Bara Yanga watachuana na Mamelodi Sundowns
Mchezo wa kwanza utapigwa kati ya March 29-31 jijini Dar es salaam na mechi ya marudiano kupigwa wiki moja baadae huko Afrika Kusini
Mechi nyiingine za robo fainali; Simba vs Al Ahly, TP Mazembe vs Petro Atletico na Esperance vs Asec Mimosa
ADVERTISE HERE