Azam Fc vs Yanga kupigwa kwa Mkapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Mar 2024
Azam Fc vs Yanga kupigwa kwa Mkapa

Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Azam Fc dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumapili March 17, umepelekwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Mchezo huo awali ulipangwa kupigwa uwanja wa Azam Complex lakini Azam Fc ambao ndio wenyeji wakaomba upelekwe kwa Mkapa

Bodi ya Ligi imeridhia maombi hayo na sasa ni rasmi derby ya Mzizima itapigwa 'Lupaso', saa 1 usiku

Mchezo wa duru ya kwanza ulipigwa katika uwanja huo na Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-2, Stephane Aziz Ki akifunga hat-trik

Yanga inahitaji kushinda mchezo huu ili iwashe taa ya kujani kuelekea ubingwa wa 30

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’