Kamwe kutoka Hospitali leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Feb 2024
Kamwe kutoka Hospitali leo

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe, hali yake ni nzuri na anatarajiwa kuruhusiwa leo kurejea nyumbani kutoka katika Hospitali ya Aga Khan ambako alilazwa tangu jana

Daktari wa Yanga SC, Moses Etutu amesema Kamwe anaendelea vema na muda wowote anatarajiwa kupewa ruhusa

"Anaendelea vizuri na muda huu tupo kwenye mchakato wa kuruhusiwa, japo ataendelea kuja hospitali kwa ajili ya kuendelea na vipimo" amesema Dkt. Etutu

Kamwe alipata changamoto ya kiafya jana katika dimba la Benjamin Mkapa wakati timu yake ikiichakaza CR Belouizdad na kukimbizwa hospitalini

Kilichomkumba Kamwe ni aina ya matukio ambayo hutokea hasa pale furaha au huzuni inapozidi

Bao la nne la Yanga liliibua shangwe isiyohimilika miongoni mwa Wananchi akiwemo Kamwe ambaye nje ya kuwa kiongozi, ni shabiki 'lialia' wa Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’