Waziri anogesha Pacome Day

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Feb 2024
Waziri anogesha Pacome Day

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba ameweka picha ikimuonyesha ana 'bleach' ikiwa ni kuwahamasisha Mashabiki na Wanachama wa Yanga kujitokeza uwanja wa Benjamin Mkapa hapo kesho katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya CR Belouizdad

Kesho ni Pacome Day, siku maalum ya kumpa thamani fundi wa mpira Profesa Pacome Zouzoua katika mchezo dhidi ya Belouizdad

Dk Nchemba ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Yanga ni Mwananchi kweli kweli na pasipo shaka, atakuwa sehemu ya Wananchi watakaojitokeza kwa Mkapa hapo kesho

Mwananchiiiii... kata tiketi yako mapema...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’