Kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya CR Belouizdad ambao utapigwa Jumamosi uwanja wa Benjamin Mkapa, klabu ya Yanga leo itakuwa na Mkutano na Wanahabari
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam, saa 4 asubuhi
ADVERTISE HERE