Yanga vs CR Belouizdad kupigwa kwa Mkapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Feb 2024
Yanga vs CR Belouizdad kupigwa kwa Mkapa

Mchezo wa raundi ya tano makundi ya ligi ya mabingwa kati ya Yanga dhidi ya CR Belouizdad utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Ni baada ya Serikali kuruhusu uwanja huo utumike katika mechi za Kimataifa

Mtanange huo utapigwa Februari 23 Yanga ikihitaji ushindi ili kuweka hai matumaini ya kufuzu robo fainali ya michuano hiyo

Kabla ya kuja Tanzania, CR Belouizdad watachuana na Al Ahly Februari 16 mchezo wa kiporo ambao utapigwa huko Algeria

Kama Belouizdad watapoteza mchezo huu, basi ushindi kwa Yanga katika mchezo utakaofuata unaweza kutosha kuwapeleka robo fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’