Kama sehemu ya utaratibu, uongozi wa Yanga ukiongozwa na Mwanasheria Simon Patrick pamoja na Meneja Habari na Mawasiliano Ally Kamwe kwa kushirikiana na GSM Foundation leo wametembelea kituo cha watoto wenye uhitaji cha Uyacho Turkey Orphanage Center kilichopo Manispaa ya Bukoba na kutoa misaada mbalimbali









ADVERTISE HERE