Safari ya Aziz Ki imefika mwisho Afcon 2023

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jan 2024
Safari ya Aziz Ki imefika mwisho Afcon 2023

Mali imesonga mbele robo fainali ya Afcon 2023 baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Burkina Faso

Mchezo huo uliwakutanisha nyota wawili wa Yanga Djigui Diarra (Mali) na Stephane Aziz Ki (Burkina Faso)

Diarra alikaa langoni katika mchezo wa nne mfululizo wakati Aziz Ki akipewa dakika 10 za mwisho

Ni Diarra aliyeibuka mshindi na sasa ataendelea kubaki Ivory Coast kusubiri robo fainali wakari Aziz Ki anarejea Dar kuendelea na mbio za ufungaji bora akiwa kinara na mabao 10 katika ligi kuu ya NBC

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’