Guede aiwahi Housing Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jan 2024
Guede aiwahi Housing Fc

Jumanne Januari 30 2024 Yanga itacheza kiporo cha kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Housing ya Njombe

Yanga imekuwa na takribani wiki mbili za mazoezi hivyo mchezo huo umekuja katika wakati mwafaka

Habari njema zaidi kwa Wananchi ni kuwasili kwa mshambuliaji wao mpya Joseph Guede raia wa Ivory Coast

Mapema leo baada ya kushiriki mechi ya bonanza ya wabunge, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said alithibitisha Guede amewasili nchini

Guede ni mchezaji pekee aliyekuwa akisubiriwa ambapo imeelezwa sababu ya kuchelewa ilitokana na changamoto ya hati ya kusafiria

Wachezaji wengine watano ambao walikuwa na majukumu ya timu za Taifa huenda wasitumike katika mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’