Afcon imempandisha thamani Bacca

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
25 Jan 2024
Afcon imempandisha thamani Bacca

Beki Ibrahim Bacca jana katika mchezo dhidi ya DR Congo aliendeleza kiwango kizuri katika michuano ya Afcon 2023 inayoendelea huko Ivory Coast

Kuna wakati Fiston Mayele jana alivurugwa na kujaribu kuleta 'undava' mbele yake katika mchezo ambao Tanzania ilihitimisha ushiriki wake wa michuano ya Afcon 2023 kwa kulazimishwa  suluhu ya bila kufungana dhidi ya DR Congo

Mayele alishindwa kabisa kufurukuta mbele ya Bacca aliyeshirikiana vyema na Mwamnyeto kuhakikisha haleti madhara katika lango la Stars

Kama zitapigwa kura kuchagua mchezaji bora wa Tanzania katika michuano ya Afcon basi naamini Bacca atapata kura nyingi zaidi kutokana na kile alichofanya katika michuano hiyo

Ni wazi ofa nyingi zitamiminika Yanga kuitaka huduma yake akiwa ndio kwanza hivi karibuni alisaini mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia Yanga

Bacca ameipandisha thamani yake kupitia michuano hii ya Afcon 2023, ni suala la muda tu kwake kuonekana anga za Kimataifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE →
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE →
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE →
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE →
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE →