Diarra, Aziz Ki uso kwa uso 16 bora Afcon

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jan 2024
Diarra, Aziz Ki uso kwa uso 16 bora Afcon

Usiku wa kuamkia leo ilikuwa simanzi kwa mashabiki wa soka wa Tanzania baada ya kuishuhudia timu yao ikitupwa nje ya michuano ya Afcon 2023 ikilazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya DR Congo

Kwa upande mwingine matokeo hayo ni furaha kwa makocha wa klabu ambazo zilliwakosa wachezaji wengi kutokana na ushiriki wao katika michuano hiyo

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi atafurahi kuwapokea wachezaji 5 waliokuwa Stars na Zambia

Bakari Nondo Mwamnyeto, Dickson Job, Ibrahim Bacca na Mudathir Yahya walikuwa kikosi cha Stars wakati Kennedy Musonda akiwa kikosi cha Zambia

Musonda jana alianza katika mchezo dhidi ya Morocco ambao hata hivyo walipoteza kwa bao 1-0 na kutupwa nje ya mashindano

Gamondi ataendelea kuwakosa nyota wawili Djigui Diarra na Stephane Aziz Ki ambao timu zao zimefuzu hatua ya 16 bora lakini bahati mbaya kwao ni kuwa mmoja kati yao ataondoka katika  hatua inayofuata

Burkina Faso na Mali zitachuana katika hatua ya 16 bora mchezo utakaopigwa Januari 30 2024

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’