Wanachama Yanga wakutana Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jan 2024
Wanachama Yanga wakutana Dar

Mapema leo, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Alex Ngai aliongoza kikao cha viongozi wa Matawi wa Kanda ya Pwani na Dar Es Salaam, kilichofanyika Makao Makuu ya Klabu, Jangwani jijini Dar es salaam

Kikao hicho kilikuwa maalum kujadili masuala mbalimbali yanayoihusu klabu ya Yanga

Kupitia kikao hicho, Ngai alimtambulisha Mkurugenzi mpya wa Masoko, Matawi na Wanachama, Ndugu Ibrahim Samwel na watendaji wengine wa idara hiyo kwa viongozi wa matawi wa Kanda ya Pwani na Dar Es Salaam

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’