Aziz Ki, Diarra waanza vyema Afcon 2023

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jan 2024
Aziz Ki, Diarra waanza vyema Afcon 2023

Nyota wa Yanga Stephane Aziz Ki na Djigui Diarra wameanza vyema michuano ya Afcon 2023 inayoendelea huko Ivory Coast baada ya timu zao za Taifa kupata ushindi katika mechi zilizopigwa jana

Aziz Ki alicheza dakika 87 katika kikosi cha Burkina Faso kilichopata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mauritania wakati Diarra akicheza dakika zote 90kwenye kikosi cha Mali  katika mchezo dhidi ya Afrika Kusini uliomalizika kwa Mali kuibuka na ushindi wa mabao 2-0

Michuano hiyo inaendelea leo ambapo timu ya Taifa ya Tanzania itacheza na Morocco saa 2 usiku wakati Zambia ikichuana na DR Congo saa 5 usiku

Nahodha Bakari Mwamnyeto, Dickson Job, Ibrahim Bacca na Mudathir Yahya wako kwenye kikosi cha Stars wakati Kennedy Musonda akiwa kwenye kikos cha Zambia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’