Kamwe atangaza siku saba za hatari

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Dec 2023
Kamwe atangaza siku saba za hatari

Wakati dirisha dogo la usajili likiwa liko wazi, Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe ametamba kuwa Wananchi wahesabu siku saba kuanzia leo, watatambulisha usajili wa mchezaji mkubwa barani Afrika

Kamwe ametamba ni usajili wa mchezaji ambaye sio mgeni machoni mwa Watanzania, usajili huo utapeleka furaha Jangwani lakini itakuwa ni simanzi kwa wengine

"Baada ya siku saba tunakwenda kuitikisa sio Tanzania tu, bali Afrika nzima. Ni siku saba zenye sintofahamu kubwa, watu wataulizana, watu watashikana mashati na wengine watakimbizana"

"Huyu mchezaji pia hata wewe unamfahamu, ni mchezaji mkubwa ambaye sio mgeni kwenye macho yako. siku hizi saba zinazofuatia mtakwenda kufurahi Wanayanga"

"Ni siku saba za majuto, siku saba za sintofahamu, siku saba zilizokusanya kilio, majonzi na sintofahamu kubwa," alitamba Kamwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’